IBADA MAALUM YA KUANUA MATANGA YA MA MARIALUCIA BITEGEKO
Familia ya marehemu ma wa Kibeta Bukoba imeungana na ndugu jamaa na marafiki katika Ibada maalumu kuanua matanga kifo cha Mama yao Mzazi Ma Marialucia Bitegeko July 9,2022.Fr.Denis Rwamugira akiongoza Ibada ya matanga ya Mpendwa wetu Ma Marialucia Bitegeko iliyofanyika Nyumbani kwa familia Kibeta July,2022.Familia ya Eddie Bitegeko ikiendelea kushiriki Ibada ya mpendwa wao Ma Marialucia Bitegeko iliyofanyika nyumbani kwa familia Kibeta Mtaa wa Kashekeanda nyumba no 49 .
Ndugu Jamaa na marafiki wa familia wakendelea kushiriki Ibada hiyo

Picha maalum kwa ajili ya Kumbukumbu.BUKOBAWADAU MEDIA tunapenda kukufahamisha kuwa tunao uwezo wa kukupa nafasi ya matangazo katika mtandao wetu pia kwa taarifa au shughuli yotote ili kufikia idadi ya watu unaotaka kokote dunia waweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255 784 505045,0754 505043.

Tunaendelea kumuombea pumziko la amani milele!Mpendwa wetu Ma Marialucia Bitegeko
Waalikwa mbalimbali wakiwa wanaendelea kushiriki Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu Ma Marialucia Bitegeko iliyofanyika July 9,2022 Nyumbani kwa Familia Kibeta Bukoba
Wanakwaya wakiendelea kuwajhibika kwa nyimbo za kumsiufu Bwana.Moja kwa moja kutoka Mtaa wa Kashekeanda Kibeta Ibada ikiwa inaendelea.
Muendelezo wa matukio ya picha
Mh. Mwalimu Bitegeko akiwajibika kwa kuwakaribisha wageni mbalimbali....
Muonekano wa Kaburi lenye mwili wa mpendwa wetu Ma Marialucia Bitegeko.Waalikwa mbalimbali wakiwa wanaendelea kushiriki Ibada ya Matanga ya Mpendwa wetu Ma Marialucia Bitegeko iliyofanyika July 9,2022 Nyumbani kwa Familia Kibeta Bukoba
Wanakwaya wakiendelea kuwajhibika kwa nyimbo za kumsiufu Bwana.Moja kwa moja kutoka Mtaa wa Kashekeanda Kibeta Ibada ikiwa inaendelea.
Muendelezo wa matukio ya picha
Mh. Mwalimu Bitegeko akiwajibika kwa kuwakaribisha wageni mbalimbali....
Wanakwaya wakiendelea kuwajibika...
Sehemu ya Waalikwa kutoka Ujombani Gera Wakiwa wamehudhuria Ibada hii.

Baby Mboneko pichani
Wakibadilisha mawazo wakati wa wakipata Chakula
Zawadi ya Kuku ikikabidhiwa...Umati m kubwa wa waumini pichani
Eneo la kaburi Ibada Maalum ikiendelea na kufuatia na tukio la kuweka masha.
Utaratibu wa kuweka Mashada ukiwa unaendelea..
Utaratibu wa kuweka mashada kwenye kaburi ukiendelea kwa kuzingatia makundi mbalimbali
Wakwe wa familia hii wakiweka maua kwenye kaburi
Utaratibu wa kuweka Maua kwenye kaburi ukiendelea..
Wajukuu kwa pamoja wakiweka mashada kwenye kaburi la Bibi yao Ma Marialucia Bitegeko
Muonekano wa Nyumba ya Ndugu Eddie Bitegeko iliyopo Maeneo ya Kibeta ambayo imezunduliwa rasmi na Fr.Denis Rwamugira July 9,2022.

Neno la shukrani likitolewa na Dada mkubwa wa familia ya Ma Marialucia Bitegeko
Wakamwana katika picha ya pamoja
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu
Baadhi ya wanafamilia ya Ma Marialucia Bitegeko katika picha ya pamoja kwa ajili ya kumbukumbu
Picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.

Wakiendelea kupata msosi maalum ulioandaliwa..
Huduma Safi ya Chakula ikitolewa kwa watu wote.

Huduma Safi ya Chakula ikitolewa kwa watu wote.Huduma Safi ya Chakula ikitolewa kwa watu wote.