Bukobawadau

ZIARA YA TOM BEZEK NA FAMILIA YAKE MJINI BUKOBA CHINI YA COSAD TANZANIA

Ugeni wa  mfadhili wa miradi ya Cosad Tazania Ndugu Tom Bezek na familia yake kutoka nchini Marekani umewasili mjini hapa na kupokelewa na mwenyeji wao Ndugu Smart Baitani katika ziara ya siku nne July 21-July 24,2022

Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba  wamefika kumsalimia Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge....

Ndugu Tom Bezek akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge.

Rais wa Cosad Tanzania akiongea na vyombo vya habari kuhusi Miradi mbalimbali inayoendelea Chini ya Cosad ukiwa ni pamoja na Mradi mkubwa wa Hospitali na mradi wa kuwasaidia akina mama ujulikanao kama 'One Woman One Goat'

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge akizungumza na Rais wa Cosad Tanzania ndugu Smart Baitani.

Wageni wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kagera  Meja Jenerali Charles Mbuge.
Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera  Meja Jenerali Charles Mbuge.
Muendelezo wa matukio ya picha.
Wasiliana nasi Kwa kazi nzuri yenye ufanisi na Covarage ya matukio ya Picha na Video kwa bei poa kabisa +255754505043. 

Next Post Previous Post
Bukobawadau