Bukobawadau

TANZIA:MA ANNALBINA RAMBERT AFARIKI DUNIA


TANZIA : Kwa Masikitiko tumepokea taarifa za kifo Cha Ma Annalbina Rambert kilichotokea leo July27,2022 Jijini Dar Es Salaaam.
Mazishi yake yanatalaji kufanyika Siku ya Jumatatu Aug 1,2022.Kijijini Bugandika Bukoba.
#Bukobawadau tunatoa pole kwa familia ya Mlangila Justine Lambert na wote waliofikwa na Msiba huu.

 Next Post Previous Post
Bukobawadau