Bukobawadau

IBADA YA MATANGA YA OMWAMIKAZI MA LEOCADIA KOKUTUNGISA PROTAS KIJIJINI GERA JULY 30,2022

Matukio ya picha yaliyojiri katika Ibada takatifu ya Matanga ya Mpendwa Mama yetu Ma Leocadia Kokutungisa Protas  iliyofanyika Nyumbani kwake Kijiji Gera Wilayani Missenyi Siku ya Jana Jumamosi July 30,2022....
Taswira mbalimbali kupitia picha sehemu ya kwanza Ibada takatifu ya Matanga ya Mpendwa Mama yetu Ma Leocadia Kokutungisa Protas
Kaka Charles Mberwa Organizer akiratibu mambo  muda mchache kabla ya Ibada takatifu ya Matanga ya Mpendwa Mama yetu Ma Leocadia Kokutungisa Protas
Eneo lilotupendeza ni muonekano wa Nyumba maalumiliyojengwa kwa ajili ya makaburi ya wapendwa wetu.
Naaam hii ni nyumba maalum iliyojengewa kaburi la Omwamikazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas
Muonekano wa kaburi la Mpendwa Mama yetu Omwamikazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas
Chifu Protas Kishebuka akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yake mzazi Omwamikazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas
Chifu Protas Kishebuka akisali mara baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Mama yake mzazi Omwamikazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas,wakati wa shughuli ya matanga iliyofanyika nyumbani kwao kijijini Gera July 30,2022

Wanafamilia katika picha mbalimbali kwa ajili ya kumbukumbu.
Picha kwa ajili ya kumbukumbu

Wazee na wanachama wa Umoja wa Lugoye Social Club wakiwa wameungana na familia ya Omwami Kazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas katika Ibada ya Matanga ya mpendwa wao.
Wazee na wanachama wa Umoja wa Lugoye Social Club wakiwa wameungana na familia ya Omwami Kazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas katika Ibada ya Matanga ya mpendwa wao.
Padre akiongoza Ibada ya kumaliza matanga,Mwaka mmoja kifo cha Mpendwa wetu  Omwamikazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas, iliyofanyika nyumbani kwa familia kijijini Gera July 30,2022
Watoto wa Kike wa kuzaliwa na mpendwa wetu  Omwamikazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas,wakiendelea na Ibada ya matanga ya mpndwa wao iliyofanyika nyumbani kwao kijijini Gera July 30,2022.
 Mama Kataruga pichani akiendelea kushiriki Ibada ya kumaliza Matanga ya rafiki yake Omwamikazi Ma Leocadia Kokutungisa Protas,iliyofanyika  kijijini Gera July 30,2022.




Next Post Previous Post
Bukobawadau