2021

Bukobawadau

MISA YA MATANGA YA MPENDWA AMELIA UPENDO NJUNWA

Nduyu jamaa na marafiki wameungana na Familia ya Marehemu HermanNjunwa katika Ibada ya  Misa ya Matanga ya Dada yao mpendwa Amlia Upendo Nju...

BUKOBAWADAU 24 Dec, 2021

Kuumwa kwa wachezaji 16 wa Simba kwapelekea mechi yao na Kagera Sugar kuahirishwa

Mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara baina ya Kagera Sugar dhidi ya Simba SC uliyopangwa kupigwa  kwenye dimba la Kaitaba mjini bukoba umehairis...

BUKOBAWADAU 19 Dec, 2021

Benki ya NBC Yatoa msaada wa Vitanda Vyenye thamani Mil 14 Kwa shule ya Sekondari Mkoani Kagera

Bukoba, Kagera: Disemba 14, 2021: Benki ya NBC imetoa msaada wa vitanda sitini (60) kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Tunamkum...

BUKOBAWADAU 16 Dec, 2021

MAELFU WASHIRIKI MAZISHI YA MLANGIRA FREDRICK LINTON BARUTI WA BURUGO -BUKOBA

Umati mkubwa wa Waombolezaji watu mashuhuri ,Wanasiasa na Viongozi wa dini wameshiriki Mazishi ya Mpendwa wetu Mlangira Fredrick Linton Ba...

BUKOBAWADAU 30 Nov, 2021

CHINGA SHOP NI WAUZAJI WA BIDHAA ZOTE ZA ELECTRONICS MJINI BUKOBA

Chinga Shop ni Wauzaji wa bidhaa mbalimbali kwa ajili yako nyumbani na ofisini kwa bei poa kabisa.Wapo Mjini Bukoba, barabara ya Jamhuri kar...

BUKOBAWADAU 15 Nov, 2021

CAMERA YETU KIJIJINI KISHANDA LEO

Wahaya waendelea kuwa mfano kwa nyumba nzuri za kupendeza zenye kila sifa inayofaa kwajili ya kuishi na familia huku ukifurahia utulivu mzur...

BUKOBAWADAU 8 Nov, 2021